Kutokuwepo kwa miundombinu rafiki ,Ujenzi
holela katika vilima na makazi katika
maeneo yasiyozingatia sheria za mipango
miji katika jiji la Mwanza kumetajwa
kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia Jeshi la zima moto na uokoaji kushindwa
kufanikiwa pindi majanga ya moto yanapotokea.
No comments:
Post a Comment