WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Thursday, February 13, 2014

MAHAFALI YA SITA YA CHUO KIKU CHA MOUNT MERU TAWI LA MWANZA

Baadhi ya wachungaji wa kanisa la BAPTISTI wakiwa  na wake zao kabla ya kuingia kwenye ibada ya mahafali ya sita ya chuo kikuu cha MOUNT MERU Tawi la Mwanza yaliyofanyika katika kanisa la BAPTIST Nyamanoro jijini Mwanza
Mkufunzi wa chuo kikuu cha Mount Meru  Hans akiongoza wake wa wachungaji  na wachungaji hawonekani pichani kuingia katika kanisa la BAPTIST Nyamanoro jijini Mwanza kwa ajili ya ibada ya mahafali ya sita ya chuo kikuu hicho Tawi la Mwanza
Mbele ni mmoja kati ya wanawake wa wachungaji waohitimu masomo ya Biblia na huduma ya Kikristo akiwaongoza wenzake kuingia kanisani kwa ajili ya ibada ya mahafali ya sita ya Chuo kikuu cha Mount Meru Tawi la Mwanza
Mwangalizi wa makanisa ya BAPTIST kanda ya ziwa mchungaji Boniphace Mponeja  akihubiri katika katnisa la BAPTIST Nyamanoro wakati wa  ibada ya mahafali ya sita ya chuo kikuu cha Mount Meru Tawi la Mwanza.
Sehemu ya baadhi ya wachungaji na waumini wakimsikiliza mchungaji Boniphace Mponeja akihubiri katika ibada ya mahafali ya sita chuo kikuu cah Mount Meru Tawi la Mwanza
Mkurugenzi mkazi wa Chuo kikuu cha Mount Meru kinachomilikiwa na kanisa la BAPTIST  Nancy Giddens  akitoa maelezo mafupi  juu ya wahitimu wa Chuo kikuu hico kabla ya kumkaribisha  mgeni rasmi .
Mgeni rasmi katika ibada ya mahafali ya sita ya Chuo kikuu cha Mount Meru  mchungaji Joseph Kahindi ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha THEOLOJIA katika chuo kikuu hicho  akihubiri  wahitimu wa mahafali hayo na baadhi yqa waumini wa kanisa hilo katika kanisa la BAPTIST jijini Mwanza
Kulia ni mmoja  kati ya wake wa  wachungaji waliohitimu masomo ya Biblia na huduma ya Kikristo akipokea cheti kutoka kwa mgeni rasmi mchungaji  Joseph Kahindi katika hafla iliyofanyika katika kanisa la BAPTIST Nyamanoro jijini Mwanza.
Waliokaa ni badhi ya  wake wa wachungaji  wakiwa katika picha ya pamoja na wachungaji  baada ya kuhitimu masomo ya Biblia na huduma ya Kikristo huku wachungaji wakihitimu masomo ya  THEOLOJIA katika Chuo kikuu cha Mount M,eru Tawi la Mwanza .

No comments:

Post a Comment