|
Madiwani wa Halmashuri ya wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza wakati wa kikao cha bajeti ya mwaka wa fedha 2014/2015 wakimsikiliza mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Danstan Mallya hayupo pichani
|
Kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wakimsikiliza mkuu wa wilaya hiyo Kalen Yunus hayupo pichani akitoa maagizo ya serikali kwa madiwani na wakuu wa idara kusimamia miradi iliyopitishwa.
|
Baadhi ya watalaam wa idara mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza wakiwa katika kikao cha Baraza la madiwani wa halamshauri hiyo cha bajeti ya mwaka 2014/2015 . |
|
Mkuu wa wilaya ya Sengerema Kalen Yunus akiwasisitizia madiwani na wakuu wa idara wakusimamia vema miradi iliyopitishwa ili kuwaletea maendeleo wananchi wa wilaya hiyo. |
|
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema Mheshimiwa Mathew Lubongeja akifunga kikao cha Baraza la madiwani wa wilaya hiyo cah akupitisha bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/2015 |
|
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza Danstan Mallya aliyesimama akielezea suala la bajeti ya mwaka 2014/2015 ya wilaya hiyo katika kikao cha Baraza la madiwani wa halmashauri hiyo. |
No comments:
Post a Comment