Watu watano wakiwemo waganga wawili wa
kienyeji wanashikiliwa na kamati ya
ulinzi na usalama wilayani Misungwi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujihusisha na mtandao
wa mauaji ya wanawake wanane kwa kuwakata mapanga kuwanyofoa viungo vya sehemu
za siri na matiti na kuuza kwa waganga
wa kienyeji kwa imani za kishirikina.
No comments:
Post a Comment