 |
| Eid el Fitr hiyooo! |
 |
| Add caption |
 |
| Watoto wakipokea misaada |
Jukumu la kuwasaidia watoto yatima ,na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi na magumu inahitaji nguvu ya pamoja kwa kushirikiana na jamii pamoja na wadau ili kunusuru changamoto zinazowakabili watoto hao
. |
| Baaadhi ya wafanyakazi wa FBME wenye sare wakiwa na Sheikh Abeid Musa wa kwanza kushoto,Imam wa msikiti wa Al Masjid Ibrahim Said Simba wa pili kulia na mkurugenzi wa blog hii Wilson Elisha Kolina (mwenye camera) |
 |
| Baadhi ya watumishi wa kike wa Benki ya FBME tawi la Mwanza wakikabidhi mbuzi kwa watoto yatima |
 |
| Meneja wa Benki ya FBME tawi la Mwanza Joseph Lugano akikabidhi baadhi ya misaada kwa Sheikh Abeid Musa wa msikiti wa Al Masjid Ibrahim wa Butimba B jijini Mwanza |
No comments:
Post a Comment