|
Baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Christ's Hope Tanzania cha jijini Mwanza wakisubiri wageni kutoka Benki ya FBME. |
Mratibu wa kituo cha Christ's Hope Tanzania {mwenye fulana ya kijani}akiwapokea wageni kutoka FBME
|
Operation Maneger FBME Bibi. Winnie Rutabihirwa akikabidhi kwa mwakilishi wa watoto |
|
Add caption |
|
Wafanyakazi wa FBME na walezi wa kituo cha Watoto katika picha ya pamoja |
|
Mratibu wa kituo cha Christ's Hope Tanzania Erick Farahani akishukuru msaada wa benki ya FBME |
No comments:
Post a Comment