WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Saturday, January 11, 2014

MRADI WA MAJI SAFI NA MAZINGIRA ( LVWATSAN - II ) HIVI KARIBUNI MIJI YA GEITA , SENGEREMA NA NANSIO UKEREWE WAPATIWA VIFAA

Baadhi ya makontena ya kuhifadhia taka ngumu yaliyokabidhiwa 
makontena ya kuhifadhia taka ngumu katika mradi huo
Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji Mhe. Binilith mahenge na mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya maji safi na maji taka jijini Mwanza, MWAUWASA  Mhandisi Anthon Sanga wakati wa hafla ya kukabidhi vitendea kazi katika mradi wa LVWATSAN - II
Baadhi ya wafanyakazi wa MWAUWASA na wadau wa maji wakishuhudia kukabidhiwa kwa vitendea kazi katika mradi wa maji
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Binilith Mahenge akiwasha moja ya matarekta yaliyokabidhiwa
Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji Mhe. Binilith Mahenge akimkabidhi funguo za gari  mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ukerewe Mhe. Joseph Mkundi
Naibu Waziri wa Maji akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mballimbali
Katikati ni Naibu waziri wa maji Mhe. Binilith Mahenge akiwa katika picha ya pamoja n baadhi ya wafanyakazi wa MWAUWASA
Mkurugenzi mtendaji wa MWAUWASA mhandisi  Anthon Sanga akimuonyesha Naibu Waziri wa Maji Mhe. Binilith Mahenge moja ya magari yakubebea maji taka katika mradi huo

No comments:

Post a Comment