Mkuu wa wilaya ya Nyang'hwale mkoa wa Geita akisisitiza jambo fulani kwa washiriki wa mdahalo wa mabadiliko ya tabia nchi ambao umefanyika katika ukumbi wa hotel ya Suube wilaynai Nyang'hwale. |
Afisa mazingira wa wilaya ya Geita Bi. Hellen Eustace akitoa mada juu ya mabadiliko ya tabia nchi kwa washiriki hawapo pichani wakati wa mdahalo wilayani Nyang'hwale |
Kulia ni mkuu wa wilaya Ibrahim Marwa na katibu Tawala wa wilaya hiyo wakiwasikiliza washiriki wa mdahalo wa mabadiliko ya tabia nchi wakati wakichangia mada hiyo |
Wawezeshaji wa mdahalo huo wakiwasikiliza washiriki wakati wakichangia mada ya mdahalo wa mabadiliko ya tabia nchi |
Washiriki wa mdahalo wa mabadiliko ya tabia nchi wilayani Nyang'hwale |
Washiriki wa mdahalo |
Wakati wa mdahalo wakichangia mada ya mabadiliko ya tabia nchi |
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari wilayani Nyang'hwale akichangia mada ya mabadiliko ya tabia nchi. |
Kushoto ni aliyesimama ni katibu mtendaji wa GNP Isaka Kubiri akieleza malengo ya mdahalo huo kwa washiriki |
No comments:
Post a Comment