WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Friday, February 6, 2015

ALGETA YAFANYA MKUTANO MKUU WA WAHANDISI JIJINI MWANZA BAADHI WA APISHWA

Kushoto  aliyenyosha mkono juu ni mhandisi wa ofisi ya katibu Tawala RAS Mkoa wa Iringa David Michael akila kiapo cha uhandisi mbele ya Hakimu Mkazi mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Mwanza Suniva Mwanjombe
Kushoto ni Hakimu mkazi mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza Suniva Mwanjombe akimsainisha kiapo cha uhandisi mhandisi wa Ofisi ya katibu Tawala Mkoa wa Iringa David Michael 
Kulia ni Mhandisi David Michael akikabidhiwa hati ya kiapo cha uhandisi na hakimu mkazi wa mahakama ya hakimu mkazi wa Mkoa wa Mwanza Suniva Mwanjombe
Makamu wa Rais wa Association of Local Government Engineers in Tanzania ALGETA , Gerald Matindi akichangia mada kwenye mkutano wa mwaka wa wahandisi wa serikali za mitaa uliofanyika katika ukumbi wa hotel ya Mornach jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment