BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........
Tuesday, February 27, 2018
Zaidi ya waajiri 11,000 nchini washindwa kujiunga na mfuko wa WCF
Serikali imeagiza Mfuko wa Fidia wa wafanyakazi nchini WCF kuwachukulia hatua za kisheria ikiwemo kuwafikisha mahakamani zaidi ya waajiri 11,00 nchini kwa kushindwa kujiunga na mfuko huo kama serikali ivyoelekeza
No comments:
Post a Comment