WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Tuesday, February 27, 2018

MWAROBAINI WA UTOROSHAJI MADINI WASAKWA JIJINI MWANZA



 Wadau wa sekta ya Madini katika mikoa ya kanda ya ziwa wameiomba serikali kuona umuhimu wa kuweka soko la uhakika la kuuza madini yanayochimbwa kwenye maeneo mbalimbali nchini ili kuepusha utoroshaji wa madini nje ya nchi

No comments:

Post a Comment