BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........
Tuesday, February 27, 2018
HAYA NDIYO MAAGIZO YA OFISI YA ELIMU MKOA WA MWANZA KWA SHULE YA SEKONDARI TAQWA
Uongozi wa Elimu Mkoa wa Mwanza umeuagiza uongozi wa shule ya sekondari ya Taqwa yenye
kidato cha tano na cha sita kuzingatia sera ya elimu taifa ili kuepukana
na migongano baina ya wanafunzi na uongozi wa shule.
No comments:
Post a Comment