WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Tuesday, January 14, 2014

MVUA KUBWA YANYESHA JIJINI MWANZA JANUARY 13, 2014

Huu ni mtaa wa Lumumba jijini Mwanza  karibu na msikiti wa Ijumaa ukiwa umefurika maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha jijini humo.
Mtaa wa Luimumba karibu na msikiti wa Ijumaa ukiwa umefurika maji


Huu ni mtaa wa sokoni  ukiwa umefurika maji kufuatia mvua kubwa iliyonyresha jijini Mwanza ambayo hata hivyo haikuleta madhara
Maji yakiwa yamefurika katika mataa wa sokoni kufuatia mvua kubwa iliyonyesha jijini Mwanza

Hii ndiyo hali halisi ya mtaa wa sokoni  jijini Mwanza ilivyokuwa baada ya mvua kubwa kunyesha  Januari 13, 2014
Mtaa wa sokoni jijini Mwanza ukiwa umefurika maji
Huu ni mtaa wa Sokoni 
Hii ndiyo adha waliyoipata baadhi ya wakazi  wa jijini la Mwanza waliokuwa katika mtaa wa sokoni

No comments:

Post a Comment