WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Friday, September 12, 2014

MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2014 KATIKA KIJIJI CHA NYALIKUNGU BUSEGA SIMIYU



Add caption

Kulia ni kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa  2014 Rachel Stephen Kassanda akisisitiza jambo baada ya kufungua wodi ya  wazazi katika zahanati ya Nyalikungu, kushoto  ni Waziri wa Maendeleo ya Uvuvi na Mifugo Mheshimiwa Dokta Titus Kaman

Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Nyalikungu wilayani Busega mkoani Simiyu wakishika mwenge wa Uhuru kutoka kwa wakimbiza mwenge huo

Jengo la wodi ya wazazi katika  zahanati ya Nyalikungu lililojengwa kwa zaidi ya shilingi milioni 209 na Shirika la AMREF  HEALTH AFRICA kwa ufadhili wa serikali ya Kanada ambalo limezinduliwa na kiongozai wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2014  Rachel Stephen Kassanda

Baadhi ya watumishi wa sekya ya afya katika Zahanati ya Nyalukungu iliyoko wilaya ya Busega wakiwa  katiuka picha ya pamoja kabla ya kiongozi wa mbio z amwenge wa uhuru kitaifa kuzindua jengo hilo

No comments:

Post a Comment