Viongozi na wageni waalikwa wakiangalia kwa makini mchezo wa fainali ya katika mashindano ya Alliance Cup 2014 baina ya timu ya Alliance chini ya miaka 17 na Makongo ya jijini Dar Es Salaam |
Mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa Alliance Mahina jijini Mwanza wakiangaliamchezo wa fainali |
Benchi la wachezaji wa timu ya Makongo wakiangalia mchezo wa fainali unavyoendela baina ya timu yao na timu ya Alliance ya jijini Mwanza |
Benchi la wachezaji waakiba wa timu ya Alliance wakiangalia kwa makini mchezo wa fainali |
Hekaheka za mchezo wa fainali baina ya timu za Alliance na Makongo |
Katika mchezo huo timu ya Alliance iliibuka na ushindi wa bao 1 - 0 dhidi ya Makongo ya Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment