Katibu Tawala wa Mkao wa Mwanza Dokta Faisal Issa akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Mkuu wa wilaya ya Nyamaganba Baraka Konisaga wakati wa hafla ya kukabisdhi cheti cha Nyota mbili kwa hospitali ya Rifaa ya Sekou Toure
Juu ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akisisitiza jambo kwa wataalamu wa Afya kuhusu huduma za Afya zinazotolewa katika hospitali ya Sekou Toure na maeneo mengine Mkoani Mwanza
Picha za chini ni sehemu ya watumishi wa hospitali ya SekouToure na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa hafla ya kukabidhi cheti cha Nyota mbili cha ubora ngazi ya kimataifa cha huduma ya maabara
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Baraka Konisaga akisoma hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkao wa Mwanza Magesa Mlongo kabla ya kukabidhi cheti cha ubora katika hafla ambayo imefanyika katika ukumbi wa Kipepeo wa Hoteli ya Mwanza.
Wapili kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akimkabidhi Mwenyekiti wa bodi ya hospitali ya Rufaa ya Sekou Toure Christopher Mwita Gachuma cheti cha ubora ha huduma ya maabara kinachotambulika kimatifa na Shirika la Afya Duniani WHO
No comments:
Post a Comment