Hii ndiyo hali halisi kufuatia mvua iliyonyesha leo zaidi ya saa tano jijini Mwanza na kusababisha baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii kusimama kutokana na daraja la Mabatini wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kujaa maji na kumeguka hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa magari katika maeneo mbalimbali ya jiji.
No comments:
Post a Comment