WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Friday, January 23, 2015

CCM YAENDELEA KUFUNGUA MASHINA YA WAKEREKETWA





Mjumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi  CCM  Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza James Bwire akisisitiza jambo furani kwa wananchi wakati wa ziara yake ya ugunguzi wa mashina ya wakereketwa wa chama hicho na kuwashukuru kwa kukipigia kura chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba 14 mwaka mwaka jana katika kata ya Mahina




Ummati wa watu waliofurika katika mkutano uliofanyika katika eneo la bendera tatu mara baada ya kumaliza kuzindua mashina ya wakereketwa wa CCM katika kata ya Mahina wilayani Nyamagana jijini Mwanza

Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM kata ya Mahina James Bwire  akitoa maelekezo kwa mmoja wa viongozi wa umoja wa vijana UVCCM kabla ya kuanza kutoa hotuba yake kwa wananchi waliofika katika mkutano huoi.



Mmoja wa viongozi wa CCM Kata ya Mahina akisikiliza kwa makini mjumbe wa kamati  ya siasa  ya halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Nyamagana ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho kata ya Mahina James Bwire

Mwenye maiki ni Maduka wa Maduka akitangaza ziara nzima ya mambo yaliyojiri  katika ziara ya mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri  CCM wilaya ya Nyamagana baada ya kumaliza kufungua mashina katika kata ya Mahina

Kulia ni mwenyekiti wa CCM kata ya Mahina James Bwire akiteta  jambo na badhi ya viongozi wa chama hicho katika kata hiyo

Mbele ni mwenyekiti wa CCM kata ya Mahina James Bwirew akiongoza ummati  wa wananchi wa katika kata hiyo kuchukua chakula baada ya kumaliza ziara yake

Add caption






Kuzinduliwa kwa mashina ya wakereketwa wa chama cha mapinduzi CCM katika wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ni moja ya mikakati ya kuimarisha  chama hicho hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais  wabunge na madiwani.

Akikata utepe kuashiria uzinduzi wa shina la  mojawapo la wakereketwa wa CCM kata ya Mahina ni Mwenyekiti wa CCM kata ya Mahina James Bwire
Mjumbe wa kamati  ya siasa ya halmashauri  kuu ya wilaya ya Nyamagana  Mkoani Mwanza ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM kata ya Mahina James Bwire amezindua mashina tisa ya wakereketwa wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi hususani wa chama wa chama hicho kwa kuwapigiua kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulifanyika Disemba 14 mwaka 2014.
Mjumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri kuu ya wilaya ya Nyamagana James Bwire akiwa tayari amemaliza kufungua shina mojawapo kati ya tisa katika kata ya Mahina wilayani humo

 

No comments:

Post a Comment