WILSON KOLINA ELISHA

WILSON KOLINA ELISHA

BLOG HII NI MUHIMU KWA JAMII KUTOKANA NA KUJIKITA KATIKA KUANDIKA HABARI TOFAUTI ZA UHAKIKA NA ZILIZOFANYIWA UCHAMBUZI WA KINA...........

Saturday, January 17, 2015

LIGI KUU MBEYA CITY YAILAZA KAGERA SUGAR UWANJA WA CCM KIRUMBA









Timu ya soka ya Mbeya City kutoka Mkoani Mbeya imeilaza timu ya Kagera Sugar ya Mkoani Kagera  bao 1-0  katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom Tanzania Bara,  ambao umechezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kagera Sugar ambayo inatumia uwanja wa CCM Kirumba kama uwanja wake wa nyumbani baada ya uwanja wa Kaitaba kuwa katika matengenezo ya kuwekewa nyasi bandia.

No comments:

Post a Comment