Wakati ikiwa imebaki wiki moja kabla ya kuanza ligi daraja la pili msimu wa mwaka 2015/2016 mwingiliano wa
majukumu katika kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji
vimetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu
zinazochangia kutofikia malengo yanayokusudiwa
Michuano ya ligi daraja
la pili inazishirikisha timu 24 ambazo
zimepangwa katika makundi manne yenye timu sita kila kundi
No comments:
Post a Comment