Wandishi wa habari wakiwa kazini wakati viongozi wa dini wa kamati ya Amani mkoani Mwanza wakiwa wanatoa tamko la kusisitiza Amani itawale wakati wa uchaguzi mkuu wa Rais wabunge na madiwani jambo ambalo limefanikiwa kwa kiwango kikubwa
Mbele kutoka kulia ni mlezi wa viongozi wa kamati ya dini Mansoor Altaf Dogoo akiwa na viongozi wenzake wakimsikiliza mwenyekiti wa kamati hiyo wakati akitoa tamko
VIONGOZI WA DINI WA KAMATI YA AMANI MKOA WA MWANZA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZA KIKAO CHAO NA WANDISHI WA HABARI SIKU CHACHE KABLA YA KUFANYIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25 2015
Kamati hiyo ilifanya kazi kubwa ambayo ilifanikisha kuhamasisha wananchi katika suala la kulinda amani kabla wakati n abaada ya uchaguzi mkuu wa Rais wabunge na madiwani uliofanyika Oktoba 25 mwaka 2015
No comments:
Post a Comment